Wednesday, 17 May 2017

HII SI YAKUKOSA KUITAZAMA!!!





MDA MWINGINE NI JAMBO JEMA KUMTAFAKARI MTU KABLA YA KUMJAJI TU KWA JINSI ALIVYO. HEBU MTAZAME KIJANA HUYU ALIYEOKOKA JINSI ALIVYO HALAFU FANANISHA NA VITU VIKUBWA ANAVY VIFANYA. UTAFAHAMU KABISA KUWA USIMDHALAU MTU TENA USIMTAZAME MTU KWA JINSI ALIVYO UKAMCHUKULIA POA!


Tuesday, 25 April 2017



CONNER OF GOSPEL

NI UKWELI USIO PINGIKA KUWA, MPAKA SASA TANZANIA YETU NI NCHI ILIYO NA IDADI KUBWA ZAIDI YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, MAARUFU KAMA GOSPEL. WAPO WADOGO (YAANI CHIPUKIZI) PAMOJA NA WALE WAKUBWA AU WAKONGWE WA SIKU NYINGI. HEBU TUJUZE UNAWAKUBARI WAPI/YUPI WEWE KWA UPANDE WAKO?