Tuesday, 25 April 2017



CONNER OF GOSPEL

NI UKWELI USIO PINGIKA KUWA, MPAKA SASA TANZANIA YETU NI NCHI ILIYO NA IDADI KUBWA ZAIDI YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, MAARUFU KAMA GOSPEL. WAPO WADOGO (YAANI CHIPUKIZI) PAMOJA NA WALE WAKUBWA AU WAKONGWE WA SIKU NYINGI. HEBU TUJUZE UNAWAKUBARI WAPI/YUPI WEWE KWA UPANDE WAKO?



No comments:

Post a Comment